2030 ambao ni wimbo wa Roma, video yake inasubiliwa kwa hamu kubwa na Mashabiki wa Muziki, ikiwa imefanywa na Director Nisher wa Nisher Entertainment. Tangu kutengezwa kwake video imekuwa ikiachiwa Vipande vipande kadhaa, vya Picha na Video vikionesha namna itakavyokuwa , hivyo kujenga mvuto kubwa kwa Mashabiki kusubili kuitazama Video hii, itakuwa ni ya aina gani.
Moja ya Kipade ambacho kiliwekwa katika ukurasa wa Instagram wa Director Nisher hiki hapa ambacho kilitoa hamasa kubwa ya Ujio wa Video hiyo
Video hii inaachiwa rasmi Mtandaoni (Online Premieres) Ijumaa hii ya Tarehe 1.11.2013, Utakuwa wa kwanzan kuitazama hapa hapa!!
Home
»
PHOTOS
»
PROJECT
» UPDATE | VIDEO YA 2030 - ROMA: NI MASAA TU YAMEBAKI ITOKE, KIPANDE KINGINE HIKI HAPA (Kitazame)
Thursday, October 31, 2013
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
.
![.](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjqYouQ5f9yiXEsAyk7xGeEkgQHDFXrUqwnjXasZPcr07OlN06O8MQWpualUqtDth9R6FATZEQDTydeVGCPWKH19E2fBYDtQHtvJeywv-81lcfL8vwGp4aiPUyXjV8t9Nl4a0HCcpfoK62n/s640/Screen+shot+2012-11-21+at+5.59.57+PM.png)
0 comments:
Post a Comment